Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithna Ashari Tanzania (T.I.C), akisalimiana na Shakir Najad, Msomaji Bingwa wa Qur’an Tukufu kutoka nchini Iran, walipokutana katika Kongamano la 30 la Qur’an Tukufu lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa, Tawi la Dar es Salaam.
22 Mei 2025 - 12:38
News ID: 1691542
Kongamano hilo lilifanyatika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam - Tanzania.
Your Comment